Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,897
- 9,443
Salaam wana Great thinkers,
Kwa nia ya dhati napenda kukipongeza hiki kituo cha utangazaji cha Radio One kutokana na vipindi vyao vizuri na vyenye kuvutia na kuelimisha kwa undani zaidi na umakini baadhi ya vipindi hivyo ni...
- Kumepambazuka katika kiswahili chini yake Kambaya...kwa kurekebisha na kukuza lugha yetu pendwa Afrika Mashariki..
- Matangazo ya mpira wa miguu ligi kuu Tanzania bara(mubashara).
- Kipindi cha music wa dansi kila siku jumatatu hadi alhamisi chini yake Rajab Zomboko...
- Upatikanaji mzuri wa kituo hiki hadi huku mikoani bila chenga...
- Ama hakika hiki ndo kilifaa kuwa Radio ya Taifa....
PONGEZI KWENU...
Kama unavutiwa na hiki kituo siyo vibaya kutoa pongezi zako pia...