Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,101
kuna nguvu kubwa katika formula hizi ambazo unaweza kuzitumia na kufikia mafanikio katika maisha yako kwa kila mtu mmoja aliyefanikiwa basi alitumia hizi formula au mabadiliko ya hizi formula kufanikiwa zaidi yule kuliko yule mtu wa kawaida na wewe unaweza ni haya
1. Kuamua nikitu gani unahitaji, hatua ya kwanza amua unachohitaji haswaa kwa kila sehemu unayopita Kuwa mtu mwenye lengo moja usiwe mtu wakufanya mambo mengi mafanikio yanakuja kwa mtu mwenye lengo moja
2. Andika yale unayohitaji. la pili chukua peni na karatasi andika kwa Maelezo mafupi kila mara fikiria katika Yale unayoandika katika karatasi, Mafanikio ambayo hayakuandikwa sio mafanikio ya muda wote. Andika yale malengo maalum unayotaka.
3. Hatua ya Tatu weka muda wakukamilisha malengo, hatua ya tatu ,weka muda wakukamilisha malengo yako "katika mfumo wakuyawezesha uliyoandika" kama.bado haujaji tambua basi hii itakupa motisha kufanya vitu vitakavyokuwezesha kufikia mafanikio ikiwa ni lengo kubwa basi liwekee muda wake pia wakukamilisha usipoteze Hii nafasi
4. Tengeneza orodha. orodhesha Yale unayofikiria yatakayokupelekea kufikia mafanikio ambapo ikiwa kazi au shughuli orodhesha yote mpaka utavomaliza yote.
5. Hatua ya tano andaa orodha katika mpango kuamua kitu gani unachotakiwa kuanza nacho kufanya na kipi kinafuata amua ni kipi muhimu na kipi hakina umuhimu sana na uandike pembeni ya karatasi yako kwa njia hii itakupa muongozo na ndoto yako itatimia kama mfano ulipanga kujenga nyumba itakupa muongozo. na utajenga
6. Chukua hatua. katika hatua Hii inakubidi uchukue hatua ufanye kitu, ufanye kila kitu kinachowezekana kufikia malengo
7.Fanya kitu fanya kila siku, katika siku 365 hakikisha umefanya kitu kila siku ambayo itakupeleka katika njia muhimu ya mafanikio hakikisha unaheshimu muda kwa siku 365 za mwaka na kitakachokufanya unapiga hatua mbele,
itakushangaza utakavyo fikia mafanikio
Nina group la biashara atakaehitaji ushauri wa biashara na utatuzi wa changamoto tunamkaribisha siweki link si busara kuweka hapa atakayehitaji atanicheki pm au aweke namba nitaad 0759500807