Prof. Muhongo achia ngazi umeshindwa kuleta huduma ya umeme

Dindira

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
2,912
3,465
Prof. Muhongo tangu upewe dhamana ya wizara ya umeme tumeshuhudia umeme kukatika Mara nyingi kuliko kipindi ulichokua huhusiki. Huoni kwamba ni wakati muafaka uachie ngazi ili tupate mpiganaji anayeweza kwenda na kasi ya hapa kazi tu.
 
Prof. Muhongo tangu upewe dhamana ya wizara ya umeme tumeshuhudia umeme kukatika Mara nyingi kuliko kipindi ulichokua huhusiki. Huoni kwamba ni wakati muafaka uachie ngazi ili tupate mpiganaji anayeweza kwenda na kasi ya hapa Nazi tu.
Wapi huko umeme una katika katika ,watu tumeshasahau mgao wa umeme ,au unatafuta kiki?.
 
Prof. Muhongo tangu upewe dhamana ya wizara ya umeme tumeshuhudia umeme kukatika Mara nyingi kuliko kipindi ulichokua huhusiki. Huoni kwamba ni wakati muafaka uachie ngazi ili tupate mpiganaji anayeweza kwenda na kasi ya hapa Nazi tu.
Naunga mkono hoja madale mivumoni kule watu wamejilipia Umeme kuunganishwa lakin mpaka Leo bado..ambapo wangeunganishwa wangepata mapato ya Umeme..hastep down kwa kweli
 
Kweli Hapa NAZI tu
 
TOBAAA.. hapa nazi tu!! he amebadili ama wewe ndo umebadili..?
okay unafikiri nani atafaa after muhongo..?
 
Naunga mkono hoja madale mivumoni kule watu wamejilipia Umeme kuunganishwa lakin mpaka Leo bado..ambapo wangeunganishwa wangepata mapato ya Umeme..hastep down kwa kweli

Mkuu, mbona line ya umeme wa msongo mkubwa ilishajengwa kitambo tu tokea pande za Goba! Kwa nini mpaka leo hamjaunganishwa? Lazima kutakuwa na uzembe mahali... Poleni sana.
 
Prof. Muhongo tangu upewe dhamana ya wizara ya umeme tumeshuhudia umeme kukatika Mara nyingi kuliko kipindi ulichokua huhusiki. Huoni kwamba ni wakati muafaka uachie ngazi ili tupate mpiganaji anayeweza kwenda na kasi ya hapa kazi tu.

Mkuu mbona huku shida ya kukatika katika umeme tumeisahau! japokuwa mvua zinanyesha kutwa kucha lakini umeme ni wa uhakika… au wapi ulipo huko ambapo umeme bado unasumbua sana?
 
Hana huruma kabisa na MAMA TANZANIA huyu mtu kwa kweli
 
Nyie mnaopenda kulalamika miaka yote ndio mjue mtandao wa haya sio mdogo, kukosekana kwa umeme kumekuwa kunafaidisha hao wachache kwenye mengiiii sana mojawapo la leo na mengineyo mengine...

Awamu hii ya tano

Haoa kazi tu

Magufuli 2020
 
  • Mods naomba nipewe ban ya miezi miwili (mpaka tarehe 24/07/2017), habari ya jembe langu Prof. Muhongo kuobwa kujiuzulu sijazifurahia kabisa
  • Tafadharini sana naomba nipewe BAN nina hasira :mad: naweza kuvunja sheria kwa kumtukana mtu
 
Sawa sawa utapata ulicho kiomba ....
 
Back
Top Bottom