Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,382
- 7,816
Jaman mwenye bajeti ya ulinzi naomba anitumie hata kama kwenye inbox! Nimeangalia kwa website yao sijaona
Hiyo huwa haiwekwi wazi MkuuJaman mwenye bajeti ya ulinzi naomba anitumie hata kama kwenye inbox! Nimeangalia kwa website yao sijaona
mbona bungen inasomwa tu ndugu?Hiyo huwa haiwekwi wazi Mkuu
Sio kila jambo linakuwa katika bajeti ya wizara ya ulinzimbona bungen inasomwa tu ndugu?