wafanyakazi msajiri wa hazina na usumbufu vibali kusafiri nje ya nchi

Korongwe

Member
Feb 17, 2011
52
13
Wafanyakazi hawa wamekuwa miungu watu,maana hata safari zilizolipiwa kila kitu na wafadhili bado wanasumbua sana.
kibali kinatoka mpaka saa chache kabla ya safari wakati wanadai ufanye application kabla ya wiki mbili, Waliowahi kuomba vibali hivi nini experience yako kwenye zoezi hili?
 
Back
Top Bottom