nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,818
- 7,106
Habar za saiz wana jf?
Kwanza poleni na majukumu ya kazi.
Naomba niende moja kwa moja kwenye ombi langu
Nahitaji msaada wa haraka ili kuokoa maisha ya baba yangu mzazi ambaye anaishi Mbeya vijijini. Kijiji kimoja kinachoitwa iwala. Huko ndo nyumbani kwetu nilikokulia.
Anasumbuliwa na mguu. Ilikua kama utani, lakini hivi ninavyoongoea, ni kwamba mguu wake umeoza na ili kumsaidia inatakiwa ukatwe.
Lakini kwa hali tuliyonayo wanaye, ilituwia vigumu kukubali mzee wetu kukatwa mguu maana itakua ndo chanzo cha kifo chake. Namaanisha akikatwa mguu mmoja, atashindwa kuendesha shughuri zake za shambani ambazo ndo nguzo pekee za maisha yake.
Baada ya kupokea taarifa za mzee kutaka kukatwa mguu, ilinibidi niwastopishe kwanza ili kuweza kuangalia ufumbuzi mwingine.
Katika hangaika yangu, nimejikuta namsimulia jamaa ambaye anadai kuna wachina wapo Iringa wanaweza kumsaidia akapona badala ya kukatwa.
Kilichonileta hapa ni gharama ambazo kwakweli tumeshindwa kuzimudu kutokana na hali ngumu za uchumi.
Hivyo naomba msaada wenu jamani ili baba yangu aweze kurudi kwenye hali yake ya kawaida.
Nampenda sana baba yangu ila naona harufu ya kumpoteza.
Tafadharini ndugu zangu wana jf, huu si utani wala sio masihala. Naomba mniachangie japo nipate chochote huenda kikamsaidia mzee wangu huko kwenye kupata matibabu.
Ukiguswa na tatizo langu hili, unaweza nitumia kwenye namba yangu ya tigo ambayo ni 0719094595. Jina litasoma Baraka Mwanjela. Au voda 0766535245. Jina ni Baraka Mwanjela pia.
Natumia nafasi hii kuwashukuru wale wote watakaoguswa na hili tatizo langu
Namaliza kwa kusema, hakuna mwanadamu anayejiombea matatizo
-------------------------------------------------------------
Update
Nawashukuru sana wana jf mlioguswa na matatizo ya mzee wangu na mkaamua kunisaidia kwa kadri kila mtu na uwezo wake.
Pili naomba nirudi tena kwenu kwa Mara nyingine kuwa kiasi kilicholelea mpaka sasa ni sh laki 4 tu za kitanzania. Bado naendelea kupokea misaada yenu kadri mnavyoguswa. Tafadharini watanzania wenzangu, naomba mni support kwa hili maana nimeumiza kichwa nimeshindwa. Ahsanteni sana
Kwa kuwa hapa watu wanatumia id tofauti na majina yao, imekua vigumu kuwaorodhesha. Ila napenda kutoa shukrani sana kwenu na ninaamini mambo yataenda sawa.
Kuhusu mzee wangu, leo ndo anafanyiwa check up ili waweze kujua kama wanauwezo wa kumtibu kama walivyofanikiwa kwa wengine. Tutazidi kupeana taarifa kadri jinsi nitakavyokua natumiwa na watu walio na mzee wangu.