mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Kama ilivyo taarifa ya Tume ya uchunguzi wa mambo ya madini ya miaka iliyopita ambayo ukigoogle utapata angalau muhutasari wenye kurasa kama 30 hivi.
Napenda kujua hii tunaipata wapi ili kama wazalendo tuisome na sisi tupate elimu hii ambayo Muda mrefu tumekuwa gizani.
Kama haipo tunaomba wahusika waiweke hata kwenye tuvoti ya wizara ili Kila anaependa aipakue na kujisomea....
Wenda Kuna mambo ya kujifunza zaidi ndani ya kazi hii iliyofanywa na wataalamu wetu