baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 431
- 310
kwakweli mimi naona giza tu... Mkulu tazama pande zote.... Sisi wengine tumekosa nini.. Kweli hii miaka mitano mafisadi watakoma...ila na sisi wenye kipatapo cha chini cha moto tutakipata.
Mkulu miaka mitano ndiyo hiyoooo na mambo yanazidi kuwa magumu.... Mkulu nakuomba tazama pande zote...
Mkulu miaka mitano ndiyo hiyoooo na mambo yanazidi kuwa magumu.... Mkulu nakuomba tazama pande zote...