Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,825
- 730,231
Naomba nitangulie kusema kwamba nina ruhusa ya mhusika kuiweka hii PM hapa kwa faida ya wengi... Na tumekubaliana niandike yale ambayo hayata vujisha mawasiliano yetu kwa ujumla wake.
PM hii itukumbushe maumivu na mahangaiko ya wengi.. Kutokana na kazi ovu za kibinadamu katika ulimwengu wa kiza.
Mwanzo wa kunukuu ".....hao watu wapo kila kukicha but now I don't belong there....
Kitu nilichojifunza si kwamba hawasaidii NOPE! Msaada wanao sana lakini hata lini tutakuwa tukikimbilia huko? Maana maandiko yanasema amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu maana huko ni upotevuni kabisa.
Unaipa madhabahu ya KUZIMU uhalali wa kumiliki na kuwa na haki (maamuzi) juu yako....! Hapo hupati baraka za Mungu at all so itabidi lolote ukitaka ni mwendo wa ku please MADHABAHU ZA KUZIMU kwa Mungu (saa nyingine) kuna REHEMA NA NEEMA lakini huko kwingine HAKUNA...
Ni kufanya kitu kwanza kwa ROHO zao na ndio kuzimu ikicheka/kukicheka upatiwe...! Lakini pia shetani baba wa uongo anaweza KUKIFANYIA (hicho kitu) zaidi ya utakavyo, unaweza kuingizwa kwenye maagano usiyoyajua.
Mganga hawezi kupinga wala kuku alert ili usipewe adhabu na miungu yake. Mwisho ni mbaya utakachokipata kwa GIZA UTAKILINDA KWA GIZA utakachokipata kwa KAFARA UTAKILINDA KWA KAFARA.... lakini hadi lini!?
Kwa hao waliopata shida ni hayo matokeo ya MALANGO kufunguliwa mara nyingi.... Hii hali huduma mpaka Kizazi cha tatu na cha NNE si lazima uwe umefanya wewe hata mababu tuu....
Utafanya mengi lakini haitoishia hapo.. Itabidi ufanye na ufanye maana FADHILI ZA GIZA HAZIDUMU.... " Mwisho wa kunukuu.
NB: Mhusika kwasasa ni wa Kristo ameokoka kwenye pm hii aliweka vifungu vya Biblia takatifu lakini kuepusha mada isihamishiwe jukwaa la dini nimeviondoa.
Jr