Upuuzi wa siasa

Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,314
7,149
kitilam
May 24
Mwl Nyerere alituongoza kudai uhuru wa
kisiasa. Rais @MagufuliJP ameanzisha
mapambano ya kudai uhuru wa kiuchumi.
Tuwe naye bega kwa bega
View details ·

Haya ndo maneno ya Kitila Mkumbo! Kweli siasa ni unyoko!
 
Akifanya atalaumiwa....asipofanya napo atalaumiwa tu!

Ndo uhalisia wa kazi ya urais!

Kama huna msimamo huwezi kabisa kuifanya hiyo kazi.

Ni kazi isiyo na shukurani.

Kwenye hili la mchanga wa madini nipo naye asilimia 100!!!
 
Haya maisha bila unafiki hayaendi...Kashaingia kwenye system hawezi kumpinga tena..Never on earth
 
Back
Top Bottom