Jinsi ya kutambua umri

Jinsi ya kutambua umri

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
296
Reaction score
181
Wakuu habar zenu

Kuna ukweli wowote kuhusu ili,

umri Wa mtu unaweza kukadiliwa kutokana na jinsi anavyo ongea au kuandika.
Hata kama uyo mtu humfahamu au hujawai kumuona.
Ajitokeze member mmoja Wa Mfano please.
 
mimi hapa mkuu nimejitokeza
 
Hizi tafiti huwa mnakusanya data muda gani, sjawahi kupata bahati ya kukutana na dodoso lenye maswali ya tafiti za aina hii.
 
Yeah sometimes inawezekana Ila sio kwa wote, watu wengine hawazeekagi
 
  • Thanks
Reactions: 247
Wakuu habar zenu
Kuna ukweli wowote kuhusu ili,
umri Wa mtu unaweza kukadiliwa kutokana na jinsi anavyo ongea au kuandika.
Hata kama uyo mtu humfahamu au hujawai kumuona.
Ajitokeze member mmoja Wa Mfano please.
unashindwaje kupanga maoni ya wachangiaji humu JF
Kuna kijamaa kinaleta ushawishi wa migomo Chuoni utaacha kukadiria umri wake?
kuna mwingine jaingiza mtoto wa Kike ndani wazazi wake wamekuja ghafla anashindwa mtorosha bintiye,
kuna wanaochangia mambo ya kichawi na maruhani utasema ni watoto wa Vyuoni hao?
 
Mfano wewe ulivyoandika ni kama umri wa miaka 14 hivi
 
Wakuu habar zenu

Kuna ukweli wowote kuhusu ili,

umri Wa mtu unaweza kukadiliwa kutokana na jinsi anavyo ongea au kuandika.
Hata kama uyo mtu humfahamu au hujawai kumuona.
Ajitokeze member mmoja Wa Mfano please.
Mfano mtu akaandika OI OI OI, huyo unakadiria ana miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom