kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,098
Inakuwaje jamani mtu mnamzungusha kumpa loss report mnataka mpewe rushwa ya elf 5 wakati gharama ni sh 500? Hamuombi ila mnamzungusha hata masaa 4 mpka ajiongeze atoe kidogo na akitoa tu dkk 5 haziishi anapewa na asipotoa atachoma sana mahindi.....Mwigulu tazama hili
Inakuwaje mtu anatuhumiwa na akibainika hana kosa haachiwi mpaka atoe kidogo?? Au huwa kuna suala gani hapa mimi huwa sielewi.....Mwigulu tusaidie
Inakuwaje unampeleka mtu polisi anashikiliwa lakini mnaanza kushindanishwa kutoa pesa akitoa pesa nyingi kesho utaona anadunda mtaani na ukiuliza longolongo zinakuwa nyingi??....Mwigulu tunaonewa
Askari wachache wanaharibu taswira ya jeshi zima la polisi......Viongozi wa juu wa jeshi hili msikubali.siku Magu akitupa jicho huko itakuwa heri yale ya Muhongo