Mark Elliot Zuckerberg tumsome vizuri.

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
'Mom, I always told you I'd come back and get my degree.' By Mark Elliot Zuckerberg

TGIF- Karen (Kempner),ni daktari wa wagonjwa wenye matatizo ya akili [Psychiatrist] na ni mama yake na Mark Elliot Zuckerberg ,na Edward Zuckerberg ni daktari wa wagonjwa wa meno [ Dentist] na baba mzazi wa Mark Elliot Zuckerberg.

Wazazi hawa walitaka mtoto wao apate elimu nzuri na bora ili aje kuwa na maisha mazuri baadaye.Bahati nzuri mtoto wao alifanikiwa kujiunga na chuo cha Harvard University na kupata nafasi ya kusoma Degree ya Psychology na Computer science.

Mark Elliot Zuckerberg alipkuwa chuoni mwaka 2004,alianza kutengeneza mtandao uliokuwa unaitwa thefacebook.com na rafiki zake , Eduardo Saverin, Andrew McCollum, Dustin Moskovitz, and Chris Hughes ambao waliishi hostel moja na kusoma masomo ya course moja ya Psychology na Computer science.

Mtandao huo ,aliweza kuweka picture mbili za wasichana warembo wawili na wavulana wawili wenye mvuto katika hostel aliyokuwa anaishi.

Mtandao wa thefacebook.com ,ulimuwezesha mtu anayeutembelea , kutizama picture na kupiga kura ,kuchagua mwanamke mzuri na mvulana mwenye mvuto, kisha kupanga orodha ya mtu mwenye kura nyingi kulingana na nafasi ya idadi ya wingi wa kura zilizopigwa na watu waliokuwa wana tembelea mtandao huo.

Mtandao huo ulitengeneza jina kubwa sana ,na kusambaa katika chuo cha Havard kiasi ambacho ulisababisha network switches ya Harvard kuzidiwa na kusababisha kwa baadhi ya wanafunzi kukosa nafasi ya kutumia huduma ya Internet kutokana na network switches kuzidiwa.

Baada ya mtandao huo wa thefacabook.com kuwa maarufu chuoni,baadhi ya wanafunzi walilamika kuwa picture zao zinachukuliwa bila ridhaa zao na kuwekwa kwenye mtandao wa thefacebook.com

Mark Elliot Zuckerberg alikili kosa lake na aliomba radhi mbele ya wanafunzi wote kwa kosa la kuchukua picture za wanafunzi wenzake bila ridhaa zao na kuweka kwenye mtandao wa thefacebook.com.

Mwaka 2004 akiwa bado mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ,aliacha masomo katika chuo cha Harvard University na kwenda katika mji wa Palo Alto, California kutimiza ndoto yake ya kuwa Computer programmer, Internet entrepreneur.

Baada ya miaka kumi na tatu ya kuacha masomo ya chuo ,Mark Elliot Zuckerberg juzi jumatano amehitimu degree yake yake ya Psychology na Computer science. ,na kuwapa hitaji la wazazi wake ambao walitaka asome chuo na kupata degree na kuwaambia wazazi wake,''Mom, I always told you I'd come back and get my degree.''

Kwa sasa katika umri wa miaka 33 ,Mark Elliot Zuckerberg ana utajiri wa US$62.5 billion ana mke mmoja Priscilla Chan na mtoto mmoja .Alitumia akili yake ubunifu wake kutimiza ndoto zake kisha akarudi shule kupata hitaji la wazazi wake.

Darasa: Elimu ya mwanafunzi bora haipo kwenye cheti cha mwanafunzi .elimu bora ipo kichwani kwa mwanafunzi . Mark Elliot Zuckerberg ,elimu yake ilikuwa kichwani kwake na sio kwenye vyeti vyake.Mark uwezo wake umekizidi cheti chake na dunia inatambua hilo.

Hakuna faraja kama kuwa na uwezo mkubwa kuliko cheti chako cha chuoni ,na hakuna huzuni na simanzi kama cheti chako chuo kikawa kikubwa kuliko utashi wako .

Mark juzi Jumatano ameenda Harvad kufuata cheti baada ya miaka 13 aliyowekeza katika ubunifu wake na kipaji chake .Knowledge opens the door to opportunity, achievement, success and wealth.[HASHTAG]#Degree[/HASHTAG]&Knowledge.
 
<p style="color:red">That's it. Vry nice story. It's quite encouraging for the people who wish to be on the same lane as mr mark. Also it awakens the mind of those who are still in darkness of our useless education system which makes us to be just like robots. Ask me why I say that
 
Aina ya elimu unayopewa nayo inachangia kumfnya mtoto awe mgunduzi.

Huku bongo kila siku mnasoma sijui DS, GS, Civics.

Miaka nenda rudi mnasoma Slave Trade, How Europe underdeveloped Africa.

Yani ujinga ujinga mtupu.

Badala ya kuweka mitaala inayoenda na wakati sisi tumekaa kujifunza kuhusu slave trade kana kwamba itakuja kutusaidia mbeleni.
 
Back
Top Bottom