Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jana nilipokuwa nasikiliza Muheshimiwa waziri akihitimisha Bajeti ya wizara yake Nilimsikia akisema kuwa tozo za mlima kilimanjaro bado ni rahisi kwa kuwa Makampuni huwatoza wageni dola za...
0 Reactions
4 Replies
952 Views
kumbe inawezekana
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Mwanamama ,Natalie Wynne Pace katika kitabu chake cha ,Put Your Money Where Your Heart Is: Investment Strategies for Lifetime Wealth from a #1 Wall Street Stock Picker,katika ukurasa wa 25...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
mama yangu na ww ni mzazi. najua ww si kama mm. ww mama yetu unachokijifungu cha pesa japo kidogo lakini kinaweza kumsaidie huyu ama yule chakula. Kilichonisukuma kusema haya ni hili nililolisikia...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi hawa jamaa wana kazi gani? Wapo bize kufuatilia vitu vidogo vidogo kuna skendo au kesi kubwa za ufisadi zimeibuliwa bungeni au wanazijua ila hawachunguzi wala kuchukua hatua, hata hili sakata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Anaandika brother Malisa GJ a.k.a the great thinker, Of course nakubali sana Tumuunge mkono Mhe.Rais kwa kupigania rasilimali za nchi zisipotee lakini tuzuie wajinga wachache wanaotaka kubeba...
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Wadau naomba msaada kwa anayejua taratibu halali za kulipia bima ya gari thirdparty.Ninajua kuwa unaweza lipa kupitia mawakala lakini kipindi cha hapa kati nilisikia tetesi kuwa unaweza lipa na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mtukufu Rais baada ya madini twende na TANAPA kujua wanyama wangapi walisafirishwa nje? Huko nako kuna balaa zaidi. Naomba tu watanzania tuzidi kumuombea rais wetu. Mungu akubariki sana Rais wetu.
4 Reactions
12 Replies
1K Views
ESCROW, LUGUMI, EPA, NIDA, RICHMOND, KIWIRA, MEREMETA, TANGOLD, KAGODA, BUZWAGI, MABEHEWA, MAKOKTENA YA MCHANGA UUZWAJI NYUMBA ZA SERIKALI, GESI YA MTWARA., DEEP GREEN, MFUKO WA...
0 Reactions
4 Replies
716 Views
Kwa ufupi habari zinasema Marehemu huyo alikua ni Raia wa Ghana akifariki Dar es Salaam nyumba ya wageni na baadaye Kupelekwa mochwari ya Hospitali ya Mwananyamala. Kamanda Sirro anasema...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tanzania prides itself with various cultural communities living together in harmony. This is a trait which was not achieved overnight. Our founding fathers of this nation worked very hard to...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Bait Al Ajaib ni moja ya alama ya utambulisho kuwa hapa ni Zanzibar Ni moja katika vivutio vikubwa vya utalii Zanzibar Ni jengo lenye historia kubwa linaachwa likipoteza haiba yake, Sasa sijui...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chahusika Kikukweli walinzi wa pale Geti kuu la kuingia hospital ya Bugando wanakera mno hata kama wanafuata taratibu zilizowekwa na hospital Kimsingi hospital ni sehemu ya...
4 Reactions
58 Replies
7K Views
Polisi mkoa wa Dar es Salaam wamekusanya milioni 304 kama faini za barabarani kutoka tarehe 22/5 hadi 25/5. Kamanda Sirro amesema mapato yameshuka sababu ya mvua na watu wanaacha magari nyumbani.
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavouliza,naombeni kueleweshwa tofauti
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimekwenda kituo cha polisi kuripoti taarifa ya upotevu al maarufu kama loss report baada ya kufungua taarifa nikaenda kwa muhasibu kulipia kisha nikaelekezwa au niseme nikaamriwa niende nje...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi kweli booking ya siku 21 kwa maisha ya kibongo kama siyo fursa kwa madalali ni nini?.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani naombwa kufahamishwa kitu hiki, hivi kwa Tanzania unaweza mwanajeshi kuacha jeshi kuna sheria inayomruhusu?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ni kwanini karibia Wageni waalikwa wengi wakiwa IKULU kuhudhuria hafla fulani muda mwingi tu wanakuwa wamenuna, sura zao zimejaa uwoga na hata upigaji wao wa makofi katika jambo fulani huwa ni...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…