Kamishna wa polisi Dar Simon Sirro amesema wamekamata watu 4 ambao ni wafanyakazi wa mochwari ya Hospitali ya Mwananyamala kwa kupasua maiti ya raia wa Ghana aliyekutwa amefariki tarehe 14/3/17...
Amani kwenu na jumapili njema.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo. Najiuliza hili swali kila siku mwisho nimeona nililete tu hapa. Tunapozungumzia rushwa kila mtu anakibali kuwa ni mbaya...
Nilikuwa katika kupata huduma za hospitali hii pendwa jijini. Yanayotendeka sijui kama wahusika wakuu wanaelewa hilo. Wakati huu ambao ajira ni shida ni maajabu kumkuta daktari anafanya hovyo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeishauri serikali kujenga kinu cha kusafishia mchanga wa dhahabu hapa nchini, huku ikifanya marekebisho ya sheria ya madini, ili kuondoa mianya ya...
Salaam wanaJF.
Ugumu wa maisha hupelekea kufanya kila linalowezekana (ukiacha kuua) ili mkono uingie kinywani. Na sasa kuna hawa wataalamu wetu a.k.a waganga wa kienyeji ambao wao wamejaaliwa...
-Nani mkweli kati ya tume ya rais na wahusika?
-Je ni mtambo gani ulitumika kugundua kiwango cha madini yaliyomo kwenye makontena?
- Je huo mtambo tunao ama ulikodishwa?
-Kama ulikodishwa ni...
Hatimae kesho mkuu wa mkoa wa dar mh Daudi bashite atakuwa tbc kuzungumzia maendeleo ya mkoa wa dar. Huu ndio usaliti au hawa TBC hawahusiki na mgomo wa kutojihusisha na lolote la bashite??
Hapa ndio penye siri ya dhana ya kifo kwenye mwili uharibikao.
Kwa imani za Mungu mmoja, binadamu aliumbwa toka mavumbini...aliumbwa kinyago mpaka pale alipopuliziwa pumzi ya uhai/kuwekewa roho...
Ndugu zangu habari zenu najua kwa sasa Hali ni tete....Ila hoja yangu ni tofauti na yanayo endelea ktk social network.Nampango wa kuumia Namibia so mwenyewe information zozote kuhusu maisha ya...
Jamani mie nadhani hili tatizo la magonjwa ya akili limekua ignored,how come mmoja kati ya wanne wana matatizo ya akili,halafu hospitali zenye kutibu haya magonjwa ni chache?
yaani leo tembea...
Baada ya Tanroads kuweka X nyumba zilizo ndani ya hifadhi ya barabara ya Morogoro kuanzia Kimara Stop over baadhi ya watu wenye akili na waelewa wameanza kuondoka ili kupisha upanuzi wa barabara...
Kwa wale wote wanaotetea Beting kama BIASHARA HALALI, nasema siyo. Na haijalishi kama serikali imeruhusu au la, swala ni kwamba hii siyo biashara halali kwa sababu zifuatazo;
1. Hakuna thamani...
Redio ya mwanzo kabisa kuchambua habari za magazeti ni Redio free Africa ya Mwanza kila siku alfajiri saa 12:30
Na Redio free Africa imekuwa ikisoma taarifa hizo kwa umakini sana kwa ufupi kama...
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa...
MKAZI wa Kitongoji Magwila Kata ya Bwilingu Halmashauri ya Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani Fatuma Ramadhani (32), anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za kujifungua kitoto jinsia...
Kuhusu suala hili la madini. Tatizo kubwa katika sekta ya madini ni sheria.
Kama ni kweli Raisi ana njia njema katika kuwachukulia wahusika wote angeanza wahusika hawa.
Wanasheria wote waliowahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.