MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Redio ya mwanzo kabisa kuchambua habari za magazeti ni Redio free Africa ya Mwanza kila siku alfajiri saa 12:30
Na Redio free Africa imekuwa ikisoma taarifa hizo kwa umakini sana kwa ufupi kama ilivyotakiwa.
Redio zingine zimefuata na zimekuja na mbwembwe nyingi kiasi cha kufikia kufungiwa kama Magic FM na Redio five baada ya kukiuka maadili ya utangazaji kutokana na habari za magazeti.
Na juzi juzi tu tulimsikia Waziri Dr Mwakyembe akitangaza kuwa Redio zisome vichwa vya habari tu vya magazeti bila kusoma habari yote kwa undani
Na kama Redio zote zingefuata muundo wa Redio Free Africa kuhusu kusoma habari za magazeti wala tangazo la Waziri lisingekuwa na u muhimu wowote.