CHADEMA yaiomba serikali ijenge kinu cha kusafishia mchanga

Imeiomba ama imeishauri? au umeshindwa kutofautisha kati ya kuomba na kushauri?
 
Ni vizuri pia kama ndio hivyo ili tuondoe utata na tupunguze kuibiwa kizembe
 
Baada ya miaka 17 kupita ndo inakuwa mwanga wa Taifa? Maajabu
Miaka yote mlikuwa mnapiga makofi ya ndiyoo kama mazuzu vile miaka zaidi ya hamsini ya uhuru leo ndo mnajifanya tunaibiwa kama siyo uzwazwa ni nini? Kila siku upinzani wanawashauri mnapiga ndiyo kuwakomoa sasa huu ushauri sojui mtaufuata au mtautema?
 
Back
Top Bottom