Baada ya StarTv kesho tena RC Makonda atakuwa TBC asubuhi

chiumbimnungu

Senior Member
Mar 25, 2017
151
217
Hatimae kesho mkuu wa mkoa wa dar mh Daudi bashite atakuwa tbc kuzungumzia maendeleo ya mkoa wa dar. Huu ndio usaliti au hawa TBC hawahusiki na mgomo wa kutojihusisha na lolote la bashite??
 
Hatimae kesho mkuu wa mkoa wa dar mh Daudi bashite atakuwa tbc kuzungumzia maendeleo ya mkoa wa dar. Huu ndio usaliti au hawa TBC hawahusiki na mgomo wa kutojihusisha na lolote la bashite??
Mtachonga sana lakini ndo hivyo
 
Huyu jamaa nna wasiwasi dingi ake (Mkulu) atakuwa kashachonga cheti anataka mambo yaamke tena watu wakikiulizia akitoe ajifanye alikuwa nacho.

Na akikitoa uchaguzi ujao lazma atapewa uwaziri

KAMA NAOTA HIVI
Kina kitu kinakuja soon
 
Huyu jamaa nna wasiwasi dingi ake (Mkulu) atakuwa kashachonga cheti anataka mambo yaamke tena watu wakikiulizia akitoe ajifanye alikuwa nacho.

Na akikitoa uchaguzi ujao lazma atapewa uwaziri

KAMA NAOTA HIVI
Sipati picha kakutana na kina lisu uko bumgen atazid kua kituko
 
Hatimae kesho mkuu wa mkoa wa dar mh Daudi bashite atakuwa tbc kuzungumzia maendeleo ya mkoa wa dar. Huu ndio usaliti au hawa TBC hawahusiki na mgomo wa kutojihusisha na lolote la bashite??

Sijui Walimu wake waliomfundisha kuanzia Kindagarten hadi University wanajisikiaje na aina hii ya Kutukuka kabisa ya Ubashite wake.
 
kwani tbc inamilikiwa na nani, "atakaye mpigia gitaa chizi ili acheze naye mwenywe ni chizi"
 
Bashite ndo nani au umerogwa na maada yako hyo ukikosa maada bora ulale ukue tumechoka na pumba inamaana una akili kuzidi mmiliki wa sahara media?? Wew uchunguzwe itakuwa muuza unga
Maada ni kitu chochote kinachoweza kuchukua nafasi.(sayansi shule ya msingi)
 
Maada ni kitu chochote kinachoweza kuchukua nafasi.(sayansi shule ya msingi)

Umenikumbusha mbali sana

Kitoto cha Form one kinacheza Mziki na Ki Dada duu wa Kidato cha nne katika Disco la Shule za Jirani usiku Mara umeme ukakatika, sasa Yule Sister Du Anajifanya HKL mtarajiwa akajifanya kustuka kwa Kizungu 'What's the Matter? Dogo akaanza kukremuka Definition ya Matter akajibu 'Matter is anything which has a weight and occupy space '
 
Back
Top Bottom