Mwenye updates za kuliamsha dude pale Ufufuo na Uzima

Mwenye updates za kuliamsha dude pale Ufufuo na Uzima

Edokay

Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
25
Reaction score
32
Habar za asubuhi, mwenye nini kitaendelea kwa Gwajima atujulishe ili tukae mkao
 
hahaha, ngoja ntengeneze ngararum hapa 😀😀
 
dude linataka watu mjae tu kudadadeki mtoa sadaka ... Nyie mnaondoka na ubuyu tu
 
Inasikitisha kuona waume zetu sikuhizi mmekua wambea kuliko dada/mama zenu[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom