Picha: Wenye Magari DSM hali ni mbaya, wezi wa vipuri wamechachamaa

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,600
3,651
IMG-20170524-WA0034.jpg
IMG-20170524-WA0033.jpg
IMG-20170524-WA0035.jpg
IMG-20170524-WA0019.jpg
IMG-20170524-WA0019.jpg
IMG-20170524-WA0024.jpg
IMG-20170524-WA0021.jpg
IMG-20170524-WA0023.jpg
IMG-20170524-WA0020.jpg
IMG-20170524-WA0022.jpg
 
Hili swala mpaka Rais nae aseme wizi huu ni kama madawa ya kulevya kuna mtandao mkubwa sana police wakiamua unapotea. Kamanda Sirro ona hili usije kukumbuka shuka asubuhi. Mkuu wa Mkoa wa Dar tangaza vita huu wizi wa vifaa vya magari
 
Wazee wa power window washafanya yao bila kuacha nyayo. DK 2 kwao ni nyingine sana kumaliza shughuli yao.

Na ukileta utemi pale kkoo na Uhuru vifaa hupati, ila ukimtumia "mbuyu" wanakuletea tena vile vile vya kwako, ingawa aliyekuuzia atakuwa kama mtu wa 5 hivi...hapo kati kati pamejaa middle men watupu. Huu mchezo mie huwa naamini kuna wanaonufaika nao kama madini na.mchanga ulivyokuwa, hivyo wanawakingia kifua.
 
Aaaah.... Wala sibabaiki...
Nimeshinda mkeka wangu wa perfect 12 jmosi...
Wakininyofolea taa za Toyota Allex yangu, naenda kuvuta Allex mpya.
 
Wazee wa power window washafanya yao bila kuacha nyayo. DK 2 kwao ni nyingine sana kumaliza shughuli yao.

Na ukileta utemi pale kkoo na Uhuru vifaa hupati, ila ukimtumia "mbuyu" wanakuletea tena vile vile vya kwako, ingawa aliyekuuzia atakuwa kama mtu wa 5 hivi...hapo kati kati pamejaa middle men watupu. Huu mchezo mie huwa naamini kuna wanaonufaika nao kama madini na.mchanga ulivyokuwa, hivyo wanawakingia kifua.
pale kijiwe kimevunjwa mkuu
 
Hao mkiwakamata ni kuwatia kiberiti wakaonane na Lucifer huko waendako poleni sana naelewa uchungu wa kuibiwa kama walivyonichapa TV yangu miezi 3 iliyopitaaa
 
Shauri yenu mnaotumia magari ka school uniform,wakiiba hapa wanapeleka pale! Mi natumia Peugeot 406 glx new model,hata wakiiba kifaa hawana pa kuuzia!
 
hatari sana kwa kweli. Ila karibuni niwafungie gps tracker yenye alarm utapata notification zote kupitia sms, email, na kingora. bei nafuu tu.
 
Back
Top Bottom