Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,925
- 31,850
Jamani mie nadhani hili tatizo la magonjwa ya akili limekua ignored,how come mmoja kati ya wanne wana matatizo ya akili,halafu hospitali zenye kutibu haya magonjwa ni chache?
yaani leo tembea mtaani dispensary kibao ila sio za mental health problems,lol sijui kwa vile hayo matibabu yako complicated,unaweza kupigwa ngumi ukatolewa meno, ukabaki kigego,hahaahahahah ,,
waziri Mwalimu Ummy sio kukaa mbele ya media na kusema mmoja ya waTanzania wanne wana matatizo ya akili,lazima useme measures ulizochukua to tackle the problem.......................mmoja kati ya hospitali nne iwe mental hospital..............more funds should be directed to training and awareness!