Rushwa/deal na mtanzania wa kawaida.

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,491
8,301
Amani kwenu na jumapili njema.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo. Najiuliza hili swali kila siku mwisho nimeona nililete tu hapa. Tunapozungumzia rushwa kila mtu anakibali kuwa ni mbaya sana. Lakini akipewa anapokea, na anatoa kwa wakati wake. Mfano rahisi tu ni pale unapompa pesa mwanamke huwa unamalengo ya kupata kitu kwake.
Sasa naomba tuwe wakweli tu hapa,nani hajawahi kupokea au kutoa rushwa?Na kama ulitoa ulifanikiwa haja zako?
Karibuni.
 
Back
Top Bottom