Je, kuna thesaurus dictionary ya kiswahili?

Che Mkira

Senior Member
Jul 8, 2014
117
152
Wakuu habari? Nimekuwa nikitafuta sana kamusi ya kiswahili yenye kutoa maana zaidi ya moja katika kila neno. Kwa lugha ya kingereza kamusi hii inaitwa "thesaurus dictionary".

Je, kuna yeyote anayeifahamu hata moja. Kama ipo, inapatikana wapi?

Natanguliza shukurani!
 
Back
Top Bottom