wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,973
- 27,209
Hua naona mafundi ujenzi wakiwa kwenye ujenzi wowote wakivaa kofia za rangi tofauti kama rangi ya blue .njano .red au nyeupe..
Na mara nyingine labda kuna mradi mkubwa unajengwa sehemu wale wasimamizi (engenear) na baadhi ya wajumbe wa hiyo shughuli huvaa za nyeupe tuu..
Je hizi kofia huvaliwa rangi tofauti kulingana na cheo cha fundi??