Nilikuwa naongea na mtu wangu wa ndani,akanimbia kila kosa traffic anapewa 7,000.Ndiyo maana traffic wanapiga faini kwa kwenda mbele.Ninachoofia jamii ikichoka ,moto utakaolipuka kuzima hakutakuwepo.Amani tunayoihubiri itageuka Somalia au Libya.Mungu atupe maisha naona siku zinakaribia