Raia wanne wa kigeni wachomwa kisu mgahawani Zanzibar
MWANANCHI
Ushasikia gari imepinduka, wamejeruhiwa watu wawili na masai mmoja? Ndio hii sasa.
Katika shambulizi la leo Zanzibar kuna raia wa Tanzania nao wamechomwa visu (tuna assume ni Watanzania manake wana majina ya Kiswahili). Hao wageni wametajwa details za nationalities zao na headline inabeba ujumbe kwamba wageni ndio wamechomwa visu.
Hawa wazawa wengine wawili ni panya!