kabuya
Member
- Jun 12, 2013
- 97
- 53
Awali ya yote nipende kumpongeza mheshimiwa raisi Magufuli makamu wake Na waziri Mkuu mh Majaliwa kwa jitihada zao za dhati kwenye sakata la makontena ya mchanga.Kwa wazir mwenye dhamana Wa wizara ya sheria kuna hakimu hapa wilayani korogwe Jina lake Mkwawa ambaye ni hakimu Wa wilaya ya korogwe ambaye hutumia gari la mahakama usiku kwenda kuwindia wanyama.Gari aina ya Landcrusar s/wagon huitumia pia kama pickup kwa ajili ya kubebea matofali Na mchanga kwenye shughuli zake za ujenzi wa nyumba.Mbaya zaidi amelitia hasara taifa kwa kutumia gari double cabin Toyota hilux 4D brand new yenye thamani ya Karib 100m tzsh kwenda kuwindia Na kupata ajali Na gari kua right off.Hili gari lilipata ajali usiku tena msituni.Na matengenezo yake yanahitaji zaidi ya sh mil 40 Na Dereva ambaye alikua anamuendesha sio muajiriwa wa mahakama kamuokota mtaani.Wakati hospitali yetu ya wilaya ikikosa hata panadol Huyu mheshimiwa Mkwawa anasema yy ni untouchable hata sisi watumishi wenzie tunamuogopa anasema yy ni TISS.Naomba ofisi yako ifanyie Kaz taarifa hizi ili tuokoe pesa ya walipa kodi.
Nawakilisha
Nawakilisha