Asalaam Alaykum Yaaah Ummat Muhammad

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,400
Baada Ya bismillah Rahman Rahiim
Sifa zote Njema Anastahiki allahu azzawajallah

Ningependa Kuiyusia Nafsi Yangu Nakuwa husieni Kumcha allah tabaaraq Wataallah

Leo Tupo katika Swaum Ya tatu alhamdulillah Ningependa kuwahusia

Mambo kadhaa Yanayo Weza batilisha Swaumu Zetu


Kwanza kabisa Tujiepushe Na kusikiliza music Kwani Popote panapo pigwa Kelele Allah ujiweka mbali napo Na

Hukurubiwa Na sheitwan Laaanah tullayhi aleyhi

Hivyo Tujikite katika Kusoma Quran Na kusikiliza Mawaidha

Tujiepushe Kushiriki Michezo Ya betting kamari Bao karata Kwani hizi zoote zinaweza ibatwilisha swaum yetu ..


Tujikurubishe kwa allah Kwa ku tawaqul
Kumtaja Nakumtukuza

Pia tuepuke Kusengenyana Kugombana
Kutiliana choyo

Tuzifanye Nyoyo zetu kuwa Bariidi kwa kupooza Nyoyo za Wenye jazba

Tuwe na hurma Msamah Pia
Kuwa futurisha Wajane mayatima Wasio jiweza

Kwani Mwezi huu nimwezi Wa twaubatan nassuha

Inshaallah Nitaishaia hapa kwaleo

Subhanaqa allahumma Wabiyhamdiq

Ashaahadu allah illah hailla ant Astakhafiruq Wanatubu ilayka
 
Back
Top Bottom