Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huwezi ukaenda una shida hata ya RB wanataka pesa, hivi karibu niliibiwa mbao sehemu. Nafika bila aibu anataka alfu 30 akakamate mwizi, nikawambia na bajaji, nawajua wahusika, ni aibu sana...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Binadamu yeyote ili ukamilike unatakiwa kuwa na nguvu zifuatazo, nguvu zimepangwa kwa namba kutokana umuhimu wake. Hivyo inayoanza na namba ndio muhimu kwa mtiririko huo. 1. Nguvu za kiroho 2...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu zangu wanajf! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yenyewe. Ukweli ni kwamba, Mnamo tarehe 13/10/2014 nilipotelewa na Bag langu ndani ya basi la Abood. Nilikua natokea moro...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Hili ni swali la changamoto kuhusu ndugu zetu hawa Wakristu wa Madhehebu ya Kipentekoste maarufu kama "Walokole". Ikumbukwe kuwa Ulokole kwa hapa Tanzania ulishika kasi sana miaka ya '80 na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Askari wa Jeshi la Polisi, Kituo cha Kigamboni wanadaiwa kumuua kwa kumpiga risasi tumboni, Mwanafunzi wa chuo cha Uvuvi Mbegani, Bagamoyo Bonaventure Kimali (25) wakimtuhumu kuwa ni jambazi...
6 Reactions
177 Replies
18K Views
Mada tajwa hapo juu yahusika. Wengi wetu tumekuwa tukitamani sana kuwa na maisha mazuri kupitia siasa huku ukizingatia kwamba ukiwa mwanasiasa bora halafu ukapata 'zali' ,unakuwa na maisha mazuri...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika kufanya uchunguzi nimegundua ni kweli "we are poor because we are poor" pia nimeamini maskini akili hatuna kabisa. Leo ukimuuliza mtu serikali imekusaidia nini? Anakujibu hii serikali...
29 Reactions
131 Replies
9K Views
Naona vita imekua kubwa , jana Accacia walifanya Press , serikalii nayo baada ya Report ya kwanza sasa inaajiandaa kutuletea Report ya Pili. Binafsi naona ni uwendawazimu kuendelea kuwaumiza...
1 Reactions
0 Replies
740 Views
Kama ilivyo kwa Trafiki jijini Dar es Salaam ambao wamejipambanua na Mashine za EFD ambapo kila trafiki barabarani anayo ili kuwapa Jamba jamba madereva wakorofi waliodhamiria kwa makusudi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam wana JF Mada tajwa yahusika Wakati serikali ya awamu ya tano ikiongozwa na rais Magufuli ilipoingia madarakani iliingia na Sera ya kubana matumizi Akaanza Kwa kuondoa watumishi hewa Akaja...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kampuni ya UDART maarufu kama Mabasi ya Mwendokasi ndiyo mmegoma kabisa kwa Abiria wa Kimara Baruti?? Mbunge Mh Kubenea unajua tatizo la wanainchi wako lakini?? Kuhusu kituo cha Kimara Baruti...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
LUKUVI - “Utakuta mtu anamiliki ekari 30 mjini, zote hizo za nini, utafika wakati tutawazuia kuuza maeneo hayo kwa sababu wanaiibia Serikali,” alisema Lukuvi. LUKUVI ATANGAZA KITANZI KWA...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hapa kwetu Tz napo palikua na maneno ya namna hiyo kwa bwana mmoja ambae inasemekana mamlaka kuu waliamua kufanya hivyo kutokana na sababu za 'kikaunda suti'.Napo jeneza lilikuja likazikwa bila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huko same kilimanjaro wakazi wake wanatazamia kumuona waziri wa ardhi ili kujua hatima ya ardhi yao iliyochukuliwa kwa ajili ya kupisha mradi mkubwa wa umeme tangu mwaka jana.
0 Reactions
5 Replies
585 Views
Kati ya mambo yaliyopigiwa upatu sana mwanzoni mwa serikali ya awamu hii ni kuwepo kwa ada elekezi kwenye shule binafsi za msingi na sekondari. Hatima ya hili suala imenipita au bado mchakato...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, niliisha wahi kuposti ombi TCRA hapa hapa JF kuwaomba wafikirie kugawa masafa ya radio kwa FM makundi mawili. 1-kitaifa na 2-kimkoa au eneo dogo. Hii inapunguza usumbufu wa kila mkoa kwa...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Habari zenu wana jamvi, Kuna tabia inakera sana utakuta umetoka lunch au dina na watu unaofahamiana nayo. Muda wa kùla ama kunywa chochote anaagiza tu tena vya bei kubwa bili ikija anajikausha...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani hawa wanaboa unalipa kifurushi kinakaa wiki 2 yaani sijui mpaka uwapigie simu Local channel ndo mmepotezea kbs halafu kingamuzi chenu mwakiuza 71000 Hovyo sana Halafu mmeingia ubia na tbc...
2 Reactions
81 Replies
9K Views
Baada ya tundu lisu kuibuka na kuanza kuipinga kamati ya prof mruma kinyume na matarajio ya wengi, wabunge wa ccm wameanza kumwita msaliti, gwajima nae hakua mbali...wengine wanasema amehongwa...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…