Nguvu unazotakiwa kuwa nazo binadamu

mitindo huru

JF-Expert Member
Apr 26, 2016
1,610
1,601
Binadamu yeyote ili ukamilike unatakiwa kuwa na nguvu zifuatazo, nguvu zimepangwa kwa namba kutokana umuhimu wake.
Hivyo inayoanza na namba ndio muhimu kwa mtiririko huo.
1. Nguvu za kiroho
2. Nguvu za akili
3. Nguvu za mwili
4. Nguvu za kiuchumi.
Unaweza kuongezea zingine lakini hizo ndio msingi na ambae hajaelewa anaweza kuuliza.
 
Mkuu mafikiri huelewi vizuri nguvu za kiume ni tofauti na nguvu za mwili.
Nguvu za kiume ni moja kati ya nguvu za mwili, sababu uume ni sehemu ya mwili na ili ufanye kazi ya kutumia uume lazima mwili uwe na nguvu vizuri
 
Binadamu yeyote ili ukamilike unatakiwa kuwa na nguvu zifuatazo, nguvu zimepangwa kwa namba kutokana umuhimu wake.
Hivyo inayoanza na namba ndio muhimu kwa mtiririko huo.
1. Nguvu za kiroho
2. Nguvu za akili
3. Nguvu za mwili
4. Nguvu za kiuchumi.
Unaweza kuongezea zingine lakini hizo ndio msingi na ambae hajaelewa anaweza kuuliza.
Nguvu za kut*mb@!

Nguvu za kiume ni moja kati ya nguvu za mwili, sababu uume ni sehemu ya mwili na ili ufanye kazi ya kutumia uume lazima mwili uwe na nguvu vizuri
Sio kweli. Kuna wanaume anaweza kubeba hata gunia la mahindi peke ake, ila ukileta kwenye 6X6, jongoo wake hapandi mtungi!
 
Shauri yenu sasa
Unataka kusemaje mdau, maana uchawi ni kitu ambacho unaweza kurithishwa tu hata na babu yako.
Ila nguvu za kiroho, kiakili, kimwili na kiuchumi ili kupata inakubidi upambane sana, ingawa pia nguvu ya kiuchumi unaweza kurithi
 
Nguvu za kut*mb@!

Sio kweli. Kuna wanaume anaweza kubeba hata gunia la mahindi peke ake, ila ukileta kwenye 6X6, jongoo wake hapandi mtungi!
Huyo atakuwa na tatizo la kisaikolojia, au atakuwa hanisi.
Maana uume ni sehemu ya mwili na ndio maana ili u perform vizuri unashauriwa angalau mtu utafute pumzi na stamina kwa push up, kukimbia n.k
 
Back
Top Bottom