Familia moja yaibuka na kudai aliyebuni na kuchora nembo ya Taifa sio mzee Maige bali Mzee Kabati

chrissmeck

Senior Member
Nov 14, 2013
110
105
Kumekuwepo na mijadala kwenye mitandao ya kijamii inahusu mzee huyu anayefahamika kuwa ndo aliyebuni nembo na taifa ambaye saa hivi anapokea matibabu muhimbili kwa hisani ya serikali, ila kuna watu wanaosema sio yeye aliyehusika na huo ubunifu. Kwa wale wanaomfahamu mzee waje watupe ukweli.Moja ya posti hiyo hapo chini.


Screenshots_2017-05-26-08-29-32.png
 
Huyu mzee ndio alichora hiyo nembo hii familia naifaham ni msabato, anamjukuu wake anafanya kazi ya design yuko vizuri, na sijajua leo hii kitu nimejua siku nyingi nilishangaa kusikia anatangazwa mtu mwingine
Akili za waislamu na wasabato zinafanana, wanawake waliowazaa Mohammed na Ellen G. White kiukweli waliikomesha dunia
 
Naibu Waziri atajibu haya.

Ni yeye amesoma instagram na kufata yaliyoandikwa, hivyo ayamalize.
 
Back
Top Bottom