Malalamiko: Kuondolewa kwa baadhi ya channels kutoka kwenye king'amuzi cha azam

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,519
Mimi ni mteja wa Azam TV kwa muda wa siku nne naona kuna chanels zingine zimeondolewa. Mfano Kombat Sports, baadhi ya fox sports n.k. Kama msipozirudisha najiondoa kama mteja wenu.
 
duuh pole ila mie naenjoy tu hii offer machanell kibao ambayo nilikuwa siyaoni....sijui mtv base, fix life, IDX, BET..n.k
long live azam
Hivi hii ofa inaisha lini maana nafaidi kwelikweli hasa ile chaneli ya NAT GEO WILD
 
Hii ofa waliyokuja nao AZAM iendelee tu.
Uwe umelipia au hujalipia ni full kukandamiza kwenda mbele.
Channel 190 BURE.
FM RADIO 27 PIA BURE.

AZAM HANA MPINZANI KWA TZ HII.
 
Hivi hii ofa inaisha lini maana nafaidi kwelikweli hasa ile chaneli ya NAT GEO WILD
sijui inaisha lini....ila huyu marketing manager wao ni kiboko wametupa bure ili tuone nini tulikuwa tunamiss....matokeo yake offer ikiisha tujikute tumeshakuwa addicted na hizo channel za bei mbaya!
 
Back
Top Bottom