Bei ya chakula na ukumbi wa sherehe hoteli ya Kilimanjaro Kempiski

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,639
Hello,

Wadau nimepanga kwenda kujivinjari kumbi za kilimanjaro kempiski bei za msosi kwa average ni tsh ngap? Kwa wanaojua tafadhali...Ili nijipange mapema kimshiko.

Hlf pia naomba mnijuze bei ya kukodisha ukumbi wa sherehe Kilimanjaro kempiski.

Ahsante
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Kilimanjaro Kempiski ndio wapi?...
 
Hello,

Wadau nimepanga kwenda kujivinjari kumbi za kilimanjaro kempiski bei za msosi kwa average ni tsh ngap? Kwa wanaojua tafadhali...Ili nijipange mapema kimshiko.

Hlf pia naomba mnijuze bei ya kukodisha ukumbi wa sherehe Kilimanjaro kempiski.

Ahsante
Bei ya msosi inategemea kiukweli since ni hoteli ya hadhi ya nyota 5

Starters ina range kuanzia 15,000 tshs mpaka 35,000 tshs

Main course ina range kuanzia 25,000 mpaka 70,000 (inategemea na chakula agizwa)

Glass ya wine ni 19,000 tshs kama sijakosea

Soda 4500 tshs

Cocktails price range from 19,000 to 25,000 tshs

Ila kuna club pembeni hapo kiingilio ni 10,000 tshs
 
Nenda Sunday brunch uanza saa sita mchana hadi kama tisa na nusu, ila wahi pia panajaa au wapigie mapema kwa reservation. Watoto wanalipa bei yao, wakubwa beba elfu 60 mtu mmoja na kuendelea...ukijikuta unataka kununua vingine. nenda ukale hadi ukimbie hii utaenjoy zaidi... kama unataka lunch na dinner haya wee nayo nenda unapotaka.

Ila kwa bei hiyo unayilipa unaweza usinunue drinks zaidi as utakunywa fresh juice aina tofauti na maji pia pamoja na kula kila unachotaka ushindwe wewe tu.
 
Bei ya msosi inategemea kiukweli since ni hoteli ya hadhi ya nyota 5

Starters ina range kuanzia 15,000 tshs mpaka 35,000 tshs

Main course ina range kuanzia 25,000 mpaka 70,000 (inategemea na chakula agizwa)

Glass ya wine ni 19,000 tshs kama sijakosea

Soda 4500 tshs

Cocktails price range from 19,000 to 25,000 tshs

Ila kuna club pembeni hapo kiingilio ni 10,000 tshs

ahsante sana kwa ufafanuzi wako, coz hizi habar nime-google ila cjapata info...ok na kukodisha ukumbi wa sherehe kwa 24 hrs itakuwa sh ngap Deemaks
 
mtoa mada wala ueleweki unachotaka mara nataka kwenda kujivinjari mara bei ya ukumbi masaa 24, tuelewe vipi? Usituchoshe ingia kwenye website yao nenda sehemu ya contacts, piga simu uulize. Sio kila kitu unauliza tu wakati dunia imerahisishwa. Kesho tena utatuuliza nauli ya fastjet kwenda Mwanza wakati kuna online booking. Wabongo uwa hatujiongezi kabisa akili nzitooo kama machizi fresh
 
Back
Top Bottom