Sakata la vyeti feki kwanini limekuwa la upande mmoja?

jambo Tanzania

JF-Expert Member
May 29, 2017
377
281
Mheshimiwa Waziri Kairuki kwanini watumishi wa serikali za mitaa na mashirika ya umma pekee ndo wa meondolewa kazini wenye vyeti feki?. Mbona wa serikali kuu wameachwa wanapiga kazi na kupokea mishahara yao.
 
Kwan hata hao waliotumuliwa walikosa mshahara mwezi huu?? Si wanaendelea kulipwa ama
 
Mbona nasikia serikali kuu yalitoka majina kimyakimya wakatumiana kwenye magrupu yamitandao namakatibu wakuu wao bt hawakutangazwa nakuzalilishwa hewani kama webgine hiyo sio fair kweli
 
Mheshimiwa Waziri Kairuki kwanini watumishi wa serikali za mitaa na mashirika ya umma pekee ndo wa meondolewa kazini wenye vyeti feki?. Mbona wa serikali kuu wameachwa wanapiga kazi na kupokea mishahara yao.
Si hivyo tu, na maafisa utumishi walioshiriki kuajiri watumishi waliokutwa na vyeti feki nao wamechukuliwa hatua gani? Tunajuaje pengine walipewa pesa au hongo ili wasihoji, hili serikali mbona inaumiza upande mmoja na huu mwingine vipiii??
 
Walikosa ila eti wengine wanadai waliikuta wakasepa nayo kimyakimya
Mkuu leta mfanovwa mtu wa vyeti fake aliekosa mshahara, watu wote wanaendelea kula salary kama kawa, huyu mleta taarifa itakuwa anapimia tu upepo kutaka kujua nn kinaendelea
 
Sina nia ya kukubishia, inawezekana unahusika kwa 100%, lakini nina jamaa yangu hajalipwa mshahara na anasota huku mtaani... sisi ndo tunampa tafu...
 
Hapana mkuu sihusiki hilo la kwanza, la pili sikuwah kuwaza kuchakachua matokeo vyeti vyangu hata kama ni efu ni yangu nililidhika nayo, huyo jamaa ni uwoga wake wa kwenda ATM mwambie akachukue mkwanja upo bank
 
Asante kwa taarifa, ngoja nampigia simu sasa hivi... niliposema unahusika 100% sikumaanisha labda ni mmoja wa waliofoji vyeti, nilimaanisha huenda uko kwenye ngazi ya maamuzi na una uhakika mliwawekea mishahara yao kwenye account zao...
 
Si hivyo tu, na maafisa utumishi walioshiriki kuajiri watumishi waliokutwa na vyeti feki nao wamechukuliwa hatua gani? Tunajuaje pengine walipewa pesa au hongo ili wasihoji, hili serikali mbona inaumiza upande mmoja na huu mwingine vipiii??
Wamepewa karipio kali
 
Back
Top Bottom