Za asubuhi wananzengo wenzangu,
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikitatizika sana mimi kama mlipa kodi wa nchi hii.
Naiuliza TRA Mwanza wana uhusiano wowote na SITTA Supermarkert iliyopo maeneo ya Samaki? Hawa watu hawatoi Risiti iwe ya EFD au ya kawaida, ni kwa nini? Are they exceptional? Watoa huduma wengine mmehakikisha wanatoa Risiti, ila huyu hatoi, yeye ni nani hapa nchini?
Tunapoimba uzalendo, ni vema tukawa wazalendo kwelikweli, leo tunapambana na ACCACIA, lakini tuna kina ACCACIA wengi humu mitaani, mmoja wao huyo SITTA. Supermarkert.
Tunaomba hatua zichukuliwe haraka.