The Citizen kwa habari mbalimbali inakuja kwa kasi ya ajabu sana. Kudos!

TheDealer

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
2,424
1,130
Nadhani hawa jamaa ni manyang'au toka Kenya. Ki ukweli wananihabarisha sana mambo mbalimbali yanayojiri hapa Tanzania na East Africa kwa ujumla.

Sidhani kama kuna chombo cha habari Tanzania kilicho na uwezo wa ku update kama hawa jamaa thecitizen. Sidhani.

Ukitaka kuwafaidi zaidi; ingia google play store pakua app ya opera mini ujisomee mwenyewe.

Hii new app nayo ni shiiiiiiiiiida sasa hv hakuna cha goal.com wala worldfootball.net wala nini; nacheza na opera mini nahabarika haraka zaidi kuliko kawaida kuhusu sports na mengine.

Hasa kipindi hiki cha dirisha la usajili damn mnakula muda wangu mwingi sana kwa kuwafuatilia!

Nawapongeza nyote, endeleeni kukaza!
 
Back
Top Bottom