Msaada; Jinsi ya kuipata hii topic

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,140
27,097
Wadau majuzi kuna mtu alipost uzi humu kuhusu kifaa cha kutambua mtu kama anadanganya!

Sikumbuki ni jukwaa gani maana nilisoma juu juu na sikuimaliza topic yote, kurudi tena jion yake nikashindwa kuipata!

Nimejaribu kusearch sipati majibu yeyote!! Kama kuna mtu anaikumbuka hiyo topic aniambie ipo jukwaani, au ukinipa link yake itakuwa safi!
 
Back
Top Bottom