Hospitali ya Muhimbili yaingia kizani jana

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Kwa mliofika muhimbili siku mbili hizi mtagundua kwamba kuna katizo la umeme ati sababu ya shoti iliyotokea tangu jana mchana na kulazimika maeneo mengi zikiwemo wadi kugubikwa na kiza
Muhimbili.jpg


sanjari na hilo kumekua na matukio ya hivi karibuni ambapo vichaa wanaozidiwa kutoroka wodi zao na kupanda juu wadi za wanawake
16.jpg


Tafadhali wahusika mlifanyie kazi suala hili maana waliopo hospitalini ni watanzania wenzetu wakiwemo wagonjwa na wafanyakazi
 
Back
Top Bottom