Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,648
- 75,838
Iwe ndani ya nchi yako au nje naamini ulishawahi kukutana na utaratibu au utamaduni mpya ambao haujawahi kufikiria kama upo duniani. Tupeane uzoefu inaweza kuwa msaada kwa mtu atakayekutana na hilo kwa mara ya kwanza.
Moja, Hapa Tanzania mkoani Arusha kuna kabla linaitwa wasonjo/watemi lipo ngorongoro karibia na kenya. Katika kuzungukazunguka nikawakuta hawa watu bwana. Wanasherehe zao za kuimba, sasa utakuta wanaume wanaanza kuingia uwanjani wakiimba kwa mistari/raws baada ya muda wanawake nao wanaingia.
Kila mwanamke hapo anajichagulia mwanaume wa kuimba naye. Na mwanamke unapoingia kuimba na mwanaume ni sharti matiti na kifua chote kiwe wazi bila kujali kuna kaka au baba yako. Ni lazima na hakuna cha kupinga. Nilishangaa saana kuona chuchu saa sita. Huu utamaduni ulinishangaza saana ila pia niliupenda.
Sikubahatika kupiga picha maana niliambiwa ukionekana unachezea. Ila mfano wa utaratibu wa uimbaji huu hapa nimezikuta mtandaoni japo hawapo vifua wazi.
Share utamaduni/utaratibu uliyowahi kukutana nao iwe nje ya nchi au ndani ya nchi.