Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Mke wa kada wa CCM amesema kwamba mauaji ya mme wake yalitokea majira ya saa 5 usiku akiwa yupo bafuni anaoga anasema mme wake alipigwa na kuuwawa kwa mapanga na watu wasiojulikana wenye silaha mbalimbali za jadi..anasema nilijaribu kuwafatilia lakini walinitisha na nikaacha kuwafata walipoelekea na baadae walitokomea pasipojulikana.
Mkuu wa wilaya kibiti, Mh Gulamhussein Kifu anasema "..wauaji hao wanafanya mauaji haya watakamatwa na kwamba madai yao ya kwamba wanalipiza kisasi kutokana na dhuruma waliyofanyiwa basi wanakosea maana sheria ipo kwa ajili ya watu wote..."