Ni kitu gani hasa unachohitaji

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,491
8,300
Itifaki izingatiwe,
Naomba kuweka wazi msimamo wangu kiimani,naamini Mungu yupo na anatenda kazi.
Sasa najiuliza hivi,unaamka usingizini saa nane za usiku kufumbua macho unakutana na malaika uso kwa uso katika sura yoyote ile,halafu anakuuliza je unataka nini?sema nami nitakupa. Utamwambia nini?
Suleiman aliomba hekima,mimi nitaomba utakatifu wewe utaomba nini.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom