Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Mungu anisamehe!
Kuna dada nimekuwa nikichart nae Facebook toka mwaka juzi wa huko Mwanza,msukuma. Alivyokuwa anatuma picha zake,nikajua hapa nimeokota embe chini ya mpera.
Ile anashuka tu kwenye basi alilosema yumo,dah! Nilichoka sana.
Uzuri niliweka simu silent,only vibration. Kaja mtu siye kabisa.Utafikiri kamuagiza mtu aje .Quite different.Ameniudhi sana.Nimelipa nauli na kuandaa mazingira hapa jijini, kumbe siyo kabisa.
Nimepanda zangu mwendokasi naelekea Mbezi mm.
Tuwe makini na marafiki wa mitandaoni