Watoto Sadia na Wilson waruhusiwa rasmi kutoka hospitali ya Mercy na wanaelekea kwenye makazi yao

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,281
SweetMoment UPDATE:

Inatokea SASA! Hospitalini Mercy, Sioux City IA

WATOTO Sadia na Wilson waruhusiwa rasmi KUTOKa hospitali ya Mercy, na wanaelekea kwenye MAKAZI yao MAPYA mjini Sioux City IA❤❤❤❤❤❤ MUNGU azidi kuwaangazia NURU za USO wake!
========UPDATES
Ambulance maalum imefika kuwachukua watoto majeruhi wa ajali ya Arusha ambao wanatibiwa nchini Marekani, Sadia na Wilson wameruhusiwa leo .
WATOTO wetu [HASHTAG]#MunguIbarikiTanzania[/HASHTAG]! Wawe SALAMA katika mikono ya MUNGU wetu. Asanteni WOTE kwa kuwaombea. Leo Sadia na Wilson wameruhusiwa kutoka hospitalini***
tmp_3646-FB_IMG_1495744128021-834800946.jpg

tmp_3646-FB_IMG_1495744130895509471426.jpg
tmp_3646-FB_IMG_14957441338401898657145.jpg

Daktari Bingwa wa Mt Meru akishiriki kuwatoa WATOTO Sadia na Wilson Mercy hospital Leo baada ya kuruhusiwa. Asante sana Dr Mashalla! Amani iwe nawe na Nesi wetu mpendwa kwa huduma kubwa mmefanya kwa WATOTO hawa na Tanzania! Much ❤❤❤
tmp_11565-FB_IMG_1495745519306-2017636641.jpg
tmp_11565-FB_IMG_1495745515766-609081486.jpg

MTOTO Doreen ataendelea KUWEPO hospitali katika WODI ya WATOTO, akiendelea KUPATA huduma za KARIBU hadi itakapoamuliwa .Mungu ni mwema sana bado anaendelea vizuri
========UPDATES
UPDATE:-
KUTOKA Mercy Hospital, Sioux City IA
Jumanne, Mei 30
Saa 3:40 Asubuhi (Saa za Afrika Mashariki)

MTOTO Doreen: Malkia wa Roho za Watanzania:-
AKIWA ameendelea kuwepo katika WODI ya WATOTO Mercy Hospitalini, MTOTO Doreen ameelezewa KUENDELEA kuimarika na MWILI wake kuitikia MATIBABU anayoendelea NAYO. MTOTO Doreen alifanyiwa UPASUAJI kwenye "hip" (Chini ya Kiuno), kwenye bega, kwenye kidevu, na mwisho kwenye UTI WA MGONGO. Katika UMRI wake, AMEJARIBIWA na KUUMIZWA kusiko elezeka.
SASA, akiwa PICHANI na Mama yake saa 4 :00 asubuhi (Saa za CST-Sioux City IA), MTOTO Doreen amekuwa JIBU la MAOMBI ya wengi. Hakika MUNGU ni mwema! Watoto wetu wako salama mikononi mwake. USHUHUDA wa Doreen utukumbushe SOTE kuwa MUNGU akitaka KUKUBARIKI, hakuna awezaye KUZUIA. Tuendelee KUMWOMBEA***
tmp_6379-FB_IMG_1496126634617-755426786.jpg

Chanzo kwa hisani ya DMS, Mercy Hospital, Sioux City IA)
=====UPDATE
UPDATE:-
Jumapili, June 4.
HATIMAYE MTOTO Doreen aruhusiwa kutoka Hospitali ya Mercy,
Sioux City, IA. (Picha kutoka WODI ya WATOTO, Mercy Hospital, Sioux City IA)
tmp_1613-FB_IMG_14965537807171540520051.jpg
 
'Daktari Bingwa wa Mt Meru akishiriki kuwatoa WATOTO Sadia na Wilson Mercy hospital Leo baada ya kuruhusiwa. Asante sana Dr Mashalla! Amani iwe nawe na Nesi wetu mpendwa kwa huduma kubwa mmefanya kwa WATOTO hawa na Tanzania! Much ❤❤❤
tmp_11565-FB_IMG_1495745519306-1833744637.jpg
 
Back
Top Bottom