Uteuzi wa aliyekuwa mgombea urais 2015 kupitia ACT Anna Mghwira

May 22, 2017
35
95
Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa kamati kuu ya Ccm mkoa. Sasa je, Mkuu wa mkoa mteule wa Kilimanjaro Anna Mghwira atahudhuria kama nani kwenye vikao vya kamati ya ccm ya mkoa? Naomba maoni yenu wadau katika hili.
 

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Mar 10, 2016
1,463
2,000
kwani vikao vya chama si vinajadili maendeleo na ustawi wa jamii, kunadhambi yeye akiudhuria?? Taifa kwanza chama baadaye
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom