vicent moshi
Member
- Apr 6, 2015
- 92
- 55
Hizi michezo za kamari za kichina zimewekwa kila kona za miji na zinadumaza vijana wengi kufanya kazi...........nashauri zipigwe marufuku kama viroba ili kunusuru taifa........
Leon Slim mikeka vipUsinikumbushe hizo ishu walahi ntaliaaa !!!yaani ni janga la taifa zaidi ya viroba!serikali ingepitia upya michezo hii hata kama inalipa kodi,ni hatari ya danger!
mbona poa 2Leon Slim mikeka vip
Suluisho limetolewa, kamari zipigwe marufuku. Au ulisoma heading tu ya uzi?Tusilaumu tu.
Tutoe na suluhisho.
Alafu wakishapiga marufuku.?Suluisho limetolewa, kamari zipigwe marufuku. Au ulisoma heading tu ya uzi?
Jiongeze mkuu, yaani huoni kabisa watapewa kazi gani?Alafu wakishapiga marufuku.?
Utawapa kazi?
Si ndo ujibu sasa.Jiongeze mkuu, yaani huoni kabisa watapewa kazi gani?