Familia Kama Hii

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
567
Hbr Zenu Jf.Mfano Mmegombana Kidogo Na Wife Mara Huyo Kwao Anawambia Mama Yake,baba Yake,makaka,madada,wajomba Halafu Wote Wanakujia Juu Unabaki Mdogo Kama Paka Aliyefumaniwa Akinywa Milk.Wewe Utafanyaje?
 
je unaishi kwako, kwenu au ukwenu?

kama jibu ni kwako au kwenu unapaswa kuwa na msimamo mkali sana zaidi ya watalbani!!

wakikuita waambie uko bize na mambo yako, wapangie wao tarehe ya kuongea hata wiki mbili mbele ya walivyopanga wao. bora wakuite kiburi kuliko kuwa mtiifu kama ngamia.


wakikupigia simu wapokee, wakikuwakia waambie wanakiuka sheria ya tcra na ukate simu.


hata kama uliyemuoa ni "jesca" unapaswa uwe na misimamo kama ya dingi wake.


tena, usiwe mnyonge sana, ukizinguana nae mkaushie tu na akisepa atajirudisha mwenyewe. usimfuate fuate.

angalizo: usimpige usimpige usimpige.

kama unaishi kwao au anakufuga unapaswa umtii na kumsikiliza, akizingua unaomba msamaha mwenyewe.


kama ni wakishua sana na wewe ni maisha plus chakufanya anza kujitambua
 
Ukikosa msimamo lazima uwe mdogo kama paka aliyefumaniw a ukiwa na msimamo lazima wakuone Simba aliye kwenye mawindo yake.
 
Hbr Zenu Jf.Mfano Mmegombana Kidogo Na Wife Mara Huyo Kwao Anawambia Mama Yake,baba Yake,makaka,madada,wajomba Halafu Wote Wanakujia Juu Unabaki Mdogo Kama Paka Aliyefumaniwa Akinywa Milk.Wewe Utafanyaje?

Haya mambo yapo kwenye jamii zetu sana , hasa baba wakwe ndo wanaviherere akiambiwa tu na bintiye anakuja juu bila kufikilia, wanawadekeza sana watoto wao , cha kufanya hapo ni kukata mawasiliano nao , hata kufika kwao fika kwa nadra sana hasa kama musibani na penyewe kaa kidogo tu usepe, hakuna kupokea simu zao wala mawasiliano ya aina yoyote, binti akikimbilia kwao achana naye hadi ajirudi yy mwenyewe ndo atatambua umhimu wako.
 
Back
Top Bottom