Je DHL wana Agent Songea?

Reghia

Senior Member
Sep 29, 2016
126
113
Habari za saa ndugy zangu. Naomba kujua kama Dhl wana agent Ruvuma -songea.
Na kama hawapo ntaupataje mzigo wangu kwani kuna mzigo inabd nitumiwe toka nje na anataka kunitumia kupitia Dhl na nimempa adress ya huku niliko yaan Songea!

Tafadhari msaada wenu wadau!
 
Boss hata kama hawana agent huko, fanya hivi mzigo ukifika utafikia uwanja Wa ndege pale, dhl wata clear na kuweka store kwao hapo we utawapigia na kutoa maelezo wakutumie kwa njia gani? Au kama unamtu hapo dar anaweza chukua na kukuagizia kwa gar
 
Back
Top Bottom