DART wanauza electronic ticket time expired

Milindi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
1,467
750
Scanner imegoma wakanambia haraka haraka pita kulia kuja kuangalia ime expire time!!!-Je pesa ya ticket ambayo time ime expire na ambayo haikubali kwenye scanner je inaingia mfuko gani!!???
IMG_20170322_133132.jpg
IMG_20170322_133339.jpg
 
Alafu msimbazi polisi, si ungeingia tu hapo utoe taarifa?
Hawa kwenye mabasi kuna wakati kutokana na uwingi wa watu huwa wanazikusanya mkononi badala ya kusipitisha kwenye bar code reader alafu mwisho wa siku hawazipitishi tena. Inaonekana kuna michezo midogo midogo inaendelea.
 
Usikute hayo ni makaratasi u yametengenezwa ya kufanana na zile zenyewe ili wanaume wafanye yao. Subiri baada ya miaka mitatu minne hivi magari yaenze kuchoka tutajua tu full muvi
 
Ni muda mrefu sasa Card hawana,sijui tatizo hasa ni nini.au abiria wakitumia Card inakuwa ngumu kupiga deal?
 
Back
Top Bottom