Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Ni maajabu, Tundu Lisu anaumia zaidi kuliko Mzungu mwenyewe aliyezuiwa kusafirisha Mzigo, Tundu Lisu anashinda kutwa kutoka povu kumtetea Mzungu, hii ndiyo shida ya kwenda Shuleni maisha yote kusomea Utamaduni wa Mzungu (Muingereza), laiti kama tungekuwa na Sheria ya Kitanzania yaani inayotokana na utamaduni wetu, basi tungekuwa na Wanasheria wanaopigania Utanzania, lkn sasa hivi wanampigania Mzungu kwa maana ndicho walichosomea, binafsi nawachukia Wanasheria wote waliosomea British Common law kwa maana inatoa watu Wasaliti na Washenzi kama Tundu Lisu ambao wao hapa Duniani kwa ajili ya kupigania Maslahi ya Mzungu!