Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kuna Taarifa ambazo tunazifwatilia kuwa siku ya Kesho Mikoa ya kanda ya kaskazini hasa Arusha Kuna uwezekano mkubwa sana Magari yaendeyo mkoani Kilimanjaro kuzuiliwa kwa kigezo cha kufanyia...
14 Reactions
45 Replies
5K Views
Vitambulisho vimeokotwa ni vya mama Jane Josia Haule, ni mfanyakazi wa jwtz kwa mujibu wa kitambulisho cha kazi. Kama kuna mtu anaweza kumfahamu amtaharifu and then aje pm nimuelekeze wapi...
1 Reactions
48 Replies
13K Views
Heshima kwako Mkuu kuna jambo linanitatiza bro Mshana jr na napenda uweze kunisaidia kama unaweza kuwa unafaham Hivi kuna ukweli wowote kuwa Watoto wachanga hua wanaona Wachawi a.k.a mawizard...
0 Reactions
52 Replies
11K Views
  • Closed
TAARIFA Ninazo audios zaidi ya tano tofauti tofauti ambazo zilirekodiwa wakati wa zoezi la kutunga propaganda ya kumchafua mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe, kwa kuigiza sauti yake ionekane kwamba...
26 Reactions
530 Replies
52K Views
wakuu nataraji muwazima, naomba anaejua namna ya kujiunga na kufurushi cha ZUKU TV cha shilingi 13000tz kinanchoitwa SMART PLUS, anisaidie
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari ya asubuhi wanajf. Kwa kifupi sana bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekuwa linaenda ndivyo visivyo tangu alipoliachia marehemu Sitta. Kwa sasa linayumba zaidi kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani Mimi naomba kufahamishwa juu ya jambo hili, hivi kuna tofauti gani kati ya komandoo na ninja katika maswala ya kijeshi na kiutendaji Nazi?
1 Reactions
25 Replies
10K Views
Rejea swali hapo juu! Umeshawahi kujiuliza hili swali? Unajisikiaje unapoona umri wako hauendani na maendeleo yako. Unajisikiaje unapoona vijana wadogo wamefanya mambo makubwa kuliko wewe?
15 Reactions
212 Replies
19K Views
Habari rafiki, Kila mara nimekuwa napata ujumbe kutoka kwa marafiki zangu wakiomba ushauri kuhusiana na baadhi ya kampuni zinazofanya biashara kwa mfumo wa mtandao, yaani NETWORK MARKETING...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Wakuu, To be honesty, TRA Officer siyo watalaam by Proffesional kama watalamu wengine. Hawa wanatekeleza Sera ya Uchumi na Baadhi ya Sera zinazo husu Kodi na Kutafsiri Nyaraka hizo. Je Kwa nini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hizi taarfa zmemshtua Dogo ambae ni mhanga aliepgiwa simu Mara 3 sasa, April 6, may 15 na may 31 2017, kuwa wanaopgia watu simu waliositishiwa ajira zao June 2016 mahakama kuwa ni watu wapo...
0 Reactions
2 Replies
849 Views
  • Closed
Habari za muda huu? Ninaomba kufahamishwa ni kwa sababu gani waislamu uelekea kibra muda wa kusali au kuchinja? Nini maana ya Kibra na kuna ulazima wa kuelekea kibra,? Naamini Mungu yupo upande...
4 Reactions
78 Replies
20K Views
Huwa nasikitika sana ninapowaona waafrika wenye ngozi nyeusi waking'ang'ana ,kupigana na kubaguana kisa vitu na dini walizoleta wakoloni !! Yaan huwa nataman kama Tuwaondoe au tuwafukuze wote...
9 Reactions
62 Replies
7K Views
Najaribu kuwaza, Yesu alikuwa anakaa kwenye hivi vijiwe hadi jamaa wakamuona ni mlevi... Sio lazima muda wote mjitenge na jamii shirikini kwenye vikao vya pombe, hata kama ni bar na wewe...
1 Reactions
60 Replies
9K Views
1.Je, leo nina nafuu yoyote kuliko jana? Kama ipo ni ipi? 2. Ni Kitu gani kipya nimejifunza leo?kama hakuna basi soma hata kitabu ukurasa mmoja. 3. Kuna maamuzi yapi mapya au chaguzi zipi...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani naomba kujuzwa hivi lile tangazo la wenye vyeti fake waondoke wenyewe. Lilifanikiwa ? Jee watu waliondoka ?? Jee waliokaidi bado wapo ?? Kama wapo kuna hatua zimechukuliwa ?? Vipi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hakuna mpenda maendeleo atakayepinga kuwa Hekima, Busara na uvumilivu ndizo sifa kuu muhimu zinazotofautisha na kufikia mtu kuitwa a "GREAT LEADER". Hivi ndivyo vinavyomfanya kiongozi yeyote...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Russian jet intercepts US bomber - CNNPolitics.com Tiririka hapo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu, Kuna habari ya kusikitisha nimeipata kwamba, ajali mbaya imewachukua wanafunzi Maretadu. Wanafunzi hao wa shule ya msingi Maretadu chini, waliangukiwa na kifusi hapo pichani...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Habari wakuu.. Kwa wale ambao mmewahi kushiriki semina ya kimataifa , International Youth Fellowship (IYF) kwa Dar ambayo ilikuwa ikiratibiwa na ndugu zetu kutoka Japan chini ya mkuu wao Pastor...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Back
Top Bottom